Lyrics
Mbona kama chama pinzani
Kila siku matatizo
Inaniathiri ndani kwa ndani (aaah)
Naikosa chanjo (oooh)
Acha visa na sononeko la moyo
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa sawa (eeeh)
Unikate vipande vipande
Mama sawa sawa (uuuuuh)
Huishiwi kisirani
Yani kila muda umenuna
Sasa mimi ntaongea na nani (aah)
I wish ungejua inavyouma
Yani bora nilewe
Usingizi sipati
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma
Umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama
Kwako sioni (eeiyee)
Nimeshika makali mpini wewe
Nasema sawa sawa (sawa sawa eeeh)
Unikate vipande vipande (oh)
Mama sawa sawa (sawa sawa uuh)
Nimeshika makali mpini wewe (eeeiyeee)
Nasema sawa sawa (sawa sawa eeeh)
Unikate vipande vipande
Mama sawa sawa (uuuuuh)
Share [Lyrics] Jux – Sawa Lyrics with others on social media;
0 Comments