[Lyrics] Mbosso – Baikoko ft. Diamond Platnumz Lyrics






Hey, kako fine
Kila nikikaweka kwenye line
Bilabila
Shuwaini (shuwaini)
Kwake nimelewa kama wine
Tilalila
Ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana (gegedu)
Nilivyo sina jinsi
Tajiri wa mbegu
Namuhonga na mwana
Baba Mndenge mama Mzaramo
Uno lake la kurithi (aah-eh)
Kafunga tenge mwali chakalamu shetani mwana ibilisi
Jipuu (jipu)
Uchungu (uchungu)
Mwana nyuma umejaza kishindundu
Kwenye zipu (zipu)
Kuna kirungu (kirungu)
Usikamate utawaita wazungu
Eeh-hey
Babu mkuna nazi (mkuna nazi) achutama kishinani
Na msuli wake uko wazi (uko wazi)
Mambo yote hadharani
Oh, go-goal go-goal
Mtoto anadaka
Goli kipa runya mira (wabeja)
Tena akikata anaitikisa sababu (brr, okay)
Baby, aje unachezaga? (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoinyonga (Baikoko)
Eeh, waonyeshe (Baikoko)
Baby, aje unachezaga? (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoinyonga (Baikoko)
Eeh, waonyeshe (Baikoko)
Asa komesha dengua! Dengua
Baby dengua! Dengua
Ringa Dengua! Dengua
Deka Dengua! Dengua wakuone
Kanivua ndala miguu
Anataka nipite peku (peku, peku)
Kunduchi juu anifikishe kwetu (kwetu, kwetu)
Embu tamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe Kibada! Kibada
Hodari kunengua
Miuno ya ushubwada (ushubwada)
Nyuma kalisasambua
Kafungasha midabwada (bwada)
Anavyo tafuna mua
Ka kibogoyo dada! (Woo!)
Katoto kamelainika kwala (kwala)
Kukapa ndizi banana (nana)
Nakapeleka kwa mama (mama)
Mama, Dangote (woo!)
Kama kuku twakimbizana (zana)
Kana ibuka kana zama (zama)
Kamwili kana balaa na laana (laana) laana, kazote
Eboh! Mtoto anadaka
Goli kipa ronya mira (wabeja)
Tena akikata anaitikisa sababu (brr, okay)
Baby, aje unachezaga? (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoinyonga (Baikoko)
Eeh, waonyeshe (Baikoko)
Baby, aje unachezaga? (Baikoko)
Unavyo baby (Baikoko)
Unavyoinyonga (Baikoko)
Eeh, waonyeshe (Baikoko)
Asa komesha dengua! Dengua
Baby dengua! Dengua
Ringa Dengua! Dengua
Deka Dengua! Dengua wakuone
Kama anaifata
Anaima anainuka mwali anaifuata
Kwa kujishebedua
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kama hataki mwana
Anaima anainuka mwali anaifuata
Kwa madoidoi
Anaima anainuka mwali anaifuata
(Brra)


Share [Lyrics] Mbosso – Baikoko ft. Diamond Platnumz Lyrics with others on social media;

Post a Comment

0 Comments