[Lyrics] Zuchu – Nisamehe Lyrics






Lyrics
Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani
Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani
Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita nimekumiss jamani
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie
Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Chozi dibwi dibwi nachanganikiwa navilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki
Zawadi vipochi vijuice vipipi nazimiss chocolate
Nimekoma dear nilivyo nyongea huba zako sizipati
Tabibu kunikomesha umepata toto la kitanga
Sababu umeichoka jeuri yangu ya kipemba
Lile gubu limeniisha kabisa baby halimanga (aibu)
Wananicheka wajinga rudi nakuomba
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie
Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani?
Nimlilie niseme nnamimba kasahau t-shirt nyumbani
Nashindwa kujizuia uvumilivu unanishinda kwanini
Nikimpigia kusudi zake akipokea eti hellow wewe nani (iiih)
Na namba kakupa nani (iiih)
Mara aahh kumbe wewe unafanya issue gani (siku hiziii)
Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv)
Aah ai wewe
Aah ai wewe


Share [Lyrics] Zuchu – Nisamehe Lyrics with others on social media;

Post a Comment

0 Comments